Ntawezaje kuuza apps google play kwa njia rahisi

Ntawezaje kuuza apps google play kwa njia rahisi

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,377
Wadau nilikua naomba mnisaidie njia rahisi ya kuuza applications kwenye playstore.
 
Hivi hii Google wallet vipi kuna mwenye details nayo kama ina accept kila mtu kupokea malipo na kama iko linked na card za bank au la?
Am sorry japo sijakomaa ku google
 
Hivi hii Google wallet vipi kuna mwenye details nayo kama ina accept kila mtu kupokea malipo na kama iko linked na card za bank au la?
Am sorry japo sijakomaa ku google

google wallet ni kama kama jina lake lilivyo ni pochi ya kufanyia manunuzi. unatoa mfano dola 10 zinakaa mule then unapotaka kununua apps au kufanya in app purchase unatumia wallet yako badala ya card ya bank.

ila wewe developer unapopokea hela unapewa kwa pamoja kwa njia utakayochagua. haiwezekan google wakulipe kama zilivyoingia.

mfano
dola 10 zimeingia kwa wallet
dola 20 kwa paypal
dola 50 kwa master card
dola 80 kwa visa card

hapo una dola zako 160 google watakavyokulipa sio kwamba watakuingizia kila sehemu hela yake bali watakwambia uchague sehemu ya kukuekea then watakutumia. mfano wire transfer
 
njia rahisi ni kutengeneza app ambayo hai exist play store

Ni njia rahisi ila ugumu unakuja katika kupata users kirahisi na pia nadhani systems za malipo hazipo efficient kwa upande wa bongo. Google Play Store inarahisisha kila kitu sema kwa bahati mbaya bado haijaanza ku-support developer wa Tanzania. Nadhani/tumaini siku za karibuni wataanza ku-support. Developer wa pande hizi tunasubiri kwa hamu ili tuanze kuuza apps.
 
Back
Top Bottom