Ntawezaje kupata whatsupp?

cicatrix

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
58
Reaction score
3
Salama wazeiya!

Naomba msaada wenu. Ntawezaje kupata / ku install programs kama whatsupp, viber, quote kwenye Htc Tattoo?

nimejaribu sana ila nimeshindwa.
Help pliz...
 
hiyo simu yako ina official firmware update, hebu jaribu kuweka froyo 2.1 au 2.2 ndio utapata application nyingi.
 
nasikia kuna whatApp ya PC kuna mchizi wangu ananambia anaitumia ina 300MB inaitwa Blue start
 
Ni simu chache zinazo support whatsapp nazofahamu ni Nokia,Blackberry,Iphone,Adroid sijui kuhusu Htc,ila google ndio utapata matokeo kaka.

Sent from Mr Arsenal
 
Salama wazeiya!

Naomba msaada wenu. Ntawezaje kupata / ku install programs kama whatsupp, viber, quote kwenye Htc Tattoo?

nimejaribu sana ila nimeshindwa.
Help pliz...

Ili Whatsapp iweze kukaa keenye simu lazima uwe na na supported OS, ntazungumzia Android maana hii ndio OS ilio katika simu yako (HTC Tattoo) Ili whatsapp iwe installed kwenye android lazima iwe ni version 2.1(Eclair) na kuendelea, lakini simu yako ina Android version 1.6(Donut) kwa kwahiyo hautaweza ku install whatsapp kwenye HTC Tattoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…