ntateuliwa na mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ntateuliwa na mkuu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kirode, Apr 24, 2012.

 1. Kirode

  Kirode JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 3,573
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kuna tetesi nimepata kutoka kwa rafiki yangu kuwa kwa kuwa hali ya uchumi wa nchi sio mzuri na kila mtanzania anajua anadaiwa m.3.5 kwa ajili ya kulipa deni la taifa tr14. Mkuu ameniteuwa kuwa wakala wa serekali hapa jf kukusanya kutoka kwenu, wana jf,napenda kuwajulisha mwisho ni tarh 12december ac,no 124975438643 kirode, crdb lumumba dsm.nawakilisha tulipe deni kwa maendeleo ya taifa.
   
Loading...