Ntapata wapi Ridhaa ya kutoa video ya wimbo wa Taifa?

Ungewasiliana na wizara ya Nape kama Mdau alivyosema hapo juu.

Bonge la idea kama uko siriaz ikamilishe kabla wajanja hawajakuwai maana wapo waandika proposal tayari ili tiGO na Cocacola watoe mpunga
 
Back
Top Bottom