Habarini wana jamii forum mimi nauluza kuhusu hizi joining instruction za chuo baada ya kua selected je unatumiwa kwenye email yako au utaipata wapi na je huwa zinakawia sana au saelection zikitoka na zenyewe zinatoka hapohapo

unaweza kuidownload kwny web yao au ukiikosa huko unawa email wakutumie.,afu inaitwa admission letter hizo mambo za joining instruction ni huko huko primary zinduka jamaa..!
majibu yako hayana busara maana kama kitu sikijui ni vizuri kunielekeza ndo ubinadamu kama nimekukwaza kwenye hiyo post yangu basi nisamehe mkubwa maana sipendi malumbano na mtu
unaweza kuidownload kwny web yao au ukiikosa huko unawa email wakutumie.,afu inaitwa admission letter hizo mambo za joining instruction ni huko huko primary zinduka jamaa..!
jaman mambo ya joining instruction umewaachia wadogo zako ,,we umekua sasa inabidi kuanzia leo uite admission letter na zinapatikana chuo husika utakachokuwa umechaguliwa na hao NACTE au TCU. NI HAYO TU KIONGOZI:couch2: