Ntamtambuaje mdada mwenye weupe wa asili?

Hivi nyie mnasema kweli au mnatania? Hii ya harufu ndo nasikia leo. Ngoja nifanyie research. Lol.
Mbona itakuwa hatari...nini kinafanya wanuke?


Yaani usiombe aisee. Unaweza kutapika aisee. Yaani unaweza ku-suffocate. Mi nadhani hizo chemicals zinaleta asyphixiation!
 
Huku kwetu wanaitwa KITIMOTO, kwa sababu ya mbabuko wa ngozi yao wanafanana na Nguruwe.
 
Haaaaaaaaahaaaaaaaaaahaaaaaaaaaa wenye kujishtukia utawajua tu.ucstuke sana Kongosho.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…