Loh, wewe mama hauishi vituko. umewazaje hayo mambo
Halafu wakisema miafrica hatuna akili tunalalamika.
Namshauri aseiende mwanza vijijini peke yake, wenzie wanaweza mfananisha.
sielewi mie bado katoto lolHivi wee mtu anakwambia 'umelenga, utaelewaje hapo?'
kimsingi ndio kashakuwa ALBINO
The rise of "chinaization"..
Wanawake/wadada hasa hapa Dar es salaam wengi, ni weupe lakini ukiwachunguza kwa karibu ni kama wameungua sehem fulani za mwili bila kusahau maeneo baadhi ya usoni.Naamini wengi wao ni vidonge, carolite n.k.
Kiasi kwamba sasa kumtambua yupi ni mweupe wa asili na nani ni artificial inakuwa ngumu.
Je mwanamke/mdada mwenye ngozi asili ama weupe wa asili utamtambuaje?
N.B.
NAWACHUKIA WANAWAKE/WADADA WANAOJICHUBUA?
umekuja mjini kuchunguza wadada ,fata kilichokuleta mjini ,mjini biashara mahesabu mikoani,Dar hamna mwanamke asiyekuwa na nywele Dar wanawake hawapasuki miguu,dar hamna mwanamke mweusi ni wewe tu kutopenda weupe sasa kazi kwako chukia usichukie mind your own business
kazikubwa mimi situmiagi mambo hayo naogopa sana ugonjwa mie unawafahamu vizuri watoto wa kule arusha sisi tumejaaliwa uzuri hatuongezitayari keshakujua kuwa wewe chakachua, ameomba msaada wa kuwagundueni amepewa. Mikelele ya nini sasa. Nivea mimi nakuhitaji, napenda sana wa mchubuo, basi usilie.
Njia rahisi sana hata kama huna macho ya kuona ni harufu kali ya na mbaya ya ngozi inayotoka kwa anaejibadilisa ngozi yake ya asili. Hata aweke perfume gani huwa wananuka vibaya sana wakiwa karibu yako.
imbombo!
Utawatambua kwa harufu zao. Ukiskia harufu ya mochwari ujue umeuziwa manyoya.
Kumbe wee mweupe?
Napenda wanawake weupe weupe hivi