Ntakuwepo jukwaani mpaka December 31, 2026
Baada ya hapo nitakuwa nimestaafu kufanya kazi za kutumia akili.
Nitajikita katika kilimo, ufugaji na hii kazi yangu ya ukarani.
Kama una jambo la kunishirikisha, ni vyema ukanishirikisha katika kipindi hiki.
Ahsante.