Ntakupa tukimaliza mfungo mtukufu

Ntakupa tukimaliza mfungo mtukufu

Vinashika ila watakuwa wamefunguliwa sasa..swaum hakuna hapo.
Asante kwa darsa mujarab maulamaa! Kumbe ukigegeda wakati uko mfungoni unakuwa umefungua, hii ckuijua! Hawa wale wenye ny.eg..e nene mna kazi!


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Basi utakuwa ulikuwa unapenda zile za kinguo nguo....

Uuuuuwiiii watu8; umenikumbusha mbaaaaali. "Mi cvitaki vya kuvua labda tufanye tukiwa tumevaaa" ha ha haaaa!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mke sio dhambi kufanya nae tendo la ndoa katika mwezi huu..mwanaume anakuwa anapata haki yake ya msingi,ila baada ya hapo ajitwaharishe( aoge kuondoa janaba) kisha fresh...ila tendo lifanyike usiku.
Yees Heart, hapo king'amuzi kimeyadaka matangazo yako muruuuua! Allah akujaalie pepo eeh! Nimepata jambo hapo.


Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ujiji kuna watoto wa ukweli balaaa yan...!!
 
Back
Top Bottom