NENDA HALOTEL WATAKUSHAURI VIZURI ZAIDIWadau kuna simu nimeibiwa katika mazingira ya kutatanisha sana, na kwa bahati mbaya siijui IMEI no yake ila mara ya mwisho nilikua naitumia kwa laini ya Halotel
Aliyeiiba kaiba pamoja na laptop na vitu vingine vya thamani, kwa vyovyote atakua ni mtu wangu wa karibu kwa mazingira tunayo kaa
Naomba ushauri wenu kuna namna yoyote naweza kufatilia kujua nani anaiyumia hiyo simu kwasasa
Pigs simu huko Halotel au TCRA wape namba yako hiyo ya Halotel wakuangalizie IMEI zilizotumika na hiyo namba alafu kwa kutumia hizo IMEI (kama laini ilitumika kwenye simu zaidi ya moja) ndizo utazitest kuona ya simu yako ni ipi kwa kutuma kila IMEI number kwenda namba *150*90#,
I hope nitakuwa nimesaidia kidogo
Ukifanikiwa usemeThanx mkuu
Ngoja nikairudishie no yangu ya halotel
Tafuta laini ya Halotel hata ya MTU tu uwapigie hakuna haja ya kwenda ktk ofisi zaoNipo Singida
Hapa naoana wanaofisi ya wakala tu
Ntajaribu
SASA HIVI KUNA MFUMO MZURI SANA WAKUTAMBUA MATUMIZI YA SIM CARD LAKINI PIA LAZIMA UWE NA POLISI LOST REPORTNipo Singida
Hapa naoana wanaofisi ya wakala tu
Ntajaribu
TATIZO HUYU HANA HATA imei ZA SIMU ALIYO POTEZA/IBIWA PIA AKIPIGA SIMU HALOTEL ATAONGEA NA CUSTOMER CARE SIYO MFUMO WA UTAMBUZI WA SIMCARD (MOST OF THESE CUSTOMER CARE ARE NOT VERY KNOWLEDGEABLE)Tafuta laini ya Halotel hata ya MTU tu uwapigie hakuna haja ya kwenda ktk ofisi zao