Ntaipata wapi hii nyimbo ya emmanuel nkulila??

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Nimejitahidi kutafuta sio Google, you tube na baadhi ya sites ambazo ziliunganishwa na links za kuupaata huo wimbo kama humu jf niliona links, cha ajabu nikiingiaa nakuta blank page, naitafuta nyimbo ya emmanuel nkulila PAIN IN ME, i real need that song, anayejua pa kuipata please i need help. Huyu jamaa namkubali sana yani,nimesikiliza miss Tz dah!!! Huyu jamaa kiboko kwa kweli,salute popote alipo.
 
Yaelekea wewe ni mpenzi wa zalipendwa.

Ahaha haha, mimi uwa sisikilizag hawa ma brother men, napenda sana kusikiliza nyimbo zenye kuteka hisia zaidi, jamaa anaweza sana
 
Ndio nani huyo??
Warumi umeona picha ya maimatha jesse nimecheka mpaka basiii
 
Ninayo pain in me, kama una e mail au whatsapp naweza kukutumia
 
Nimejitahidi kutafuta sio Google, you tube na baadhi ya sites ambazo ziliunganishwa na links za kuupaata huo wimbo kama humu jf niliona links, cha ajabu nikiingiaa nakuta blank page, naitafuta nyimbo ya emmanuel nkulila PAIN IN ME, i real need that song, anayejua pa kuipata please i need help. Huyu jamaa namkubali sana yani,nimesikiliza miss Tz dah!!! Huyu jamaa kiboko kwa kweli,salute popote alipo.

mkuu umeipata naitafuta sana umenikumbusha enzi hizo inapigwa na itv ya zamani kipindi hicho walikuwa wakiimba kwenye ufukwe dah
 
Jaman hata Mimi huu wimbo nmeutafta sana.yan sjui mtandao gani ckuingia.lakin nikatoka kapa.naomba jaman atakae upata anisaidie na mom wandugu@warumi
 
mkuu umeipata naitafuta sana umenikumbusha enzi hizo inapigwa na itv ya zamani kipindi hicho walikuwa wakiimba kwenye ufukwe dah

Mkuu uu wimbo unanikumbusha mbali nikiwa mdogo aisee nilikuwa naupenda ulikua na emotional sana.
 
Mie ninazo Audio zake kama 10 hivi including na Pain In Me nikipitia Library yangu nitaattach,Video yake ndio naitafuta,ITV ndio wanayo tu enzi hizo 98 au 99 ilikuwa inapigwa sana ITV,Emmanuel Nkulila yupo na demu hivi kwenye ufukwe wa bahari ni noma,Why dont you see that pain in me? Why did you take ur luv from me?
 
mkuu umeipata naitafuta sana umenikumbusha enzi hizo inapigwa na itv ya zamani kipindi hicho walikuwa wakiimba kwenye ufukwe dah

Bado mkuu yani sijui ntaipatia wapi
 
Mie ninazo Audio zake kama 10 hivi including na Pain In Me nikipitia Library yangu nitaattach,Video yake ndio naitafuta,ITV ndio wanayo tu enzi hizo 98 au 99 ilikuwa inapigwa sana ITV,Emmanuel Nkulila yupo na demu hivi kwenye ufukwe wa bahari ni noma,Why dont you see that pain in me? Why did you take ur luv from me?

Fanya binamu aise utuwekee humu maana nimeitafuta sana naikubal vbya sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom