Ili kunogesha tangazo lako ungeongeza vifuatavyo;
1.Pato lako kwa mwezi
2.Picha yako (though haitokuwa na impact sana kama kipengele cha kwanza upo vizuri)
3.Dini yako na ya umtakaye
4.Kama kuna vya ziada uweke wazi mfano kama una mtoto au ulishawahi kuoa