Subiri waje
hiv uyu sio mmeo au majina tu yafanana?
Usiogope na usiharakishe na wala usilazimishe, iachie moyo uamue wenyewe, atakuja tu na moyo utakwambia huyu ndiye katika hali ya amani kabisa!
hivi ntampataje mpenzi anaye nipenda kwa dhati? na awe na heshima kwangu?
Sielewi naona maruhani tu mwenzio
hivi ntampataje mpenzi anaye nipenda kwa dhati? na awe na heshima kwangu?
Subiri waje
uran mkeo si ni valentina ama?
Mbona kama sielewi mimi???.Laazizi Bantu lady njoo unieleweshe??
Shamba na mali mtu hupewa na babae lakini mke mwema hutoka kwa Bwana. Omba Mungu akuonyeshe ubavu wako