Fika ofisin kwao wakueleweshe hatua kwa hatua.Wana formula zao za kushangaza sana hasa ukiugua mfano hautapata pesa yoyote eti hadi ipite 18 months baada ya hizo 6 months za malipo(33%) uliyokuwa unapokea kila mwezi.Nchi hii watunga sheria huwa hawaangalii kabisa uhalisia wa vipato vya watu maskini.Ni kuchochea chuki tu kati ya serikali na wananchi.Halafu eti kuna skilled na unskilled,cha ajabu kuna watu wanaohonga pesa dirishanu,hakuna cha utaratibu wala formula,pesa zote huwa wanachukua