Yeah hata pale Ilala boma wanatoa! Mm nachukua changu kila mwezi sema ni 33.3% ya mshahara wako wa mwisho. Hii ni kwa kazi za taaluma zote!Nenda tu ofisi yoyote iliyo karibu nawe. Hata hawana usumbufu siku hz na unachukulia hela yako popote tu ulipo, sio lazima urudi ulipokuwa unafanyia kazi.
Na hata fomu zao siku hizi zimeboreshwa sana, hazina mambo mengi ya kujaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa ulitoa mlungula si bure.Mbona mm nilienda wala sikuulizwa hayo maswali, labda hiyo ipo tu huko dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja uzirudishe ndiyo utajua kiini cha mjadala huu. Hao NSSF ni mumiani kabisa wanang'ang'ania hela zetu kama zao vile.Mi navyojua lipo, kwsbb nilienda wiki iliyopita siku ya jtano nikapewa fomu na sasa nimezituma kwa mwajiri ajaze na kuweka mhuri kisha nirudishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja uzirudishe ndiyo utajua kiini cha mjadala huu. Hao NSSF ni mumiani kabisa wanang'ang'ania hela zetu kama zao vile.
Mi navyojua lipo, kwsbb nilienda wiki iliyopita siku ya jtano nikapewa fomu na sasa nimezituma kwa mwajiri ajaze na kuweka mhuri kisha nirudishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikutoa kituUtakuwa ulitoa mlungula si bure.
Nipo nipo mpenzi, hlf yaan ngoja nije inbox kwanza maana nahisi nilikufaham kitambo kupitia kwa mpuuzi flani hv.Upo my aim high mate?
Bado upo diamond region Mimi still napambana huku makinikiani kabla acacia na barrick hawajagawana fito na GoTz
Mjitoe halafu pesa ya stiglers ilipweje? Mnataka kumwachia jiwe msala?
Acheni uwongo nyie Rais alisema ntu apewe akifie mbele lkn ss hv ukienda unaambia ww km proffesional katafute kaz ss huwa nashindwa kuelewa Rais alituongopea kutwambie tukachukie chetu?
Wrong wayMheshimiwa Rais atusaidie kupata hela zetu NSsf,
Nina wasiwasi kama kule NSSF kama kuna helaMheshimiwa Rais atusaidie kupata hela zetu NSsf,
Lets say nina umri wa miaka 35, nimefanya kazi katika kampuni ya kigeni - kampuni imefungwa wanaondoka wanarudi makwao. Fao langu kwa miaka 7 niliyofanya nao kazi ni zaidi ya 45m. Serikali inaniambia ati nitafute kazi nyingine ili niendelee kuchangia.....nimetafuta kazi mwaka wa pili sasa sijapata naishi kwa kuombaomba... chakula shida, pa kulala ni shida - Nahangaika hivi wakati nina 45m zipo NSSF - Je hii ni HAKI.
FAO la kujitoa HOJA nzito mno ....wafanyakazi tuchague chama kinachokuja na SERA bora hasa kwenye FAO hili.