hivi hii mifuko ya hifazi za
jamii si inashindana? kwann mapungufu ya nssf yasiwe advantage kwa
mifuko mingine? je ni lazima kuwa mwanachama nssf? mimi wakati naajiriwa
tuliletewa watu wa mifuko yote ya hifadhi za jamii wamwage sera kila
mtu achague mfuko anaotaka na kweli kila mtu alichagua anapopataka, sasa
hapa naona vita ipo kati ya mkurugenzi na vita inasababishwa na dini
yake
Hili sasa ndo daraja linajengwa, misingi yake ndivyo inavyotakiwa , zege na nondo kwa kwenda mbele.
hata ukichukia ukweli lazima usemwe, kila siku ni nssf tu!Nawachukia sana watu kama wewe wanaohusishanisha kila jambo na dini, nawachukia sana. Samahani kwa hilo.
Mkuu mtoa mada, naona mada yako imekaa kumpamba huyo Dr Dau, kama si Dau mwenyewe!
Hilo daraja pengine hata hujui maana yake, hilo ni temporary, na daraja lenyewe wala bado halijaanza kujengwa!
Sijui huna macho au vipi, si unayaona mabati yasiyoweza kubeba uzito mkubwa!
Na ta kukuelewesha Nssf Ni financier tu wa mradi na hawana ujuzi wa kusimamia hilo daraja isipokuwa wizara husika ya ujenzi na wataalam walioteuliwa.

Hilo temporary ni kwa ajili ya kufanikisha main structure.Mkuu usishangae kuona hilo la temporary tukakabidhiwa kama main bridge. Bongo hapa kila kitu mteremko
JK kafanya mengi mazuri. Dr Magufuli anakuja kuendeleza pale alipoishia KikweteHakika JK ni wakupongezwa...
Hivi mzee wetu anakuja lini huko
Wa kupongeza ni Dr Ramadhani DauHakika JK ni wakupongezwa...
Samahani napita...naona kama mfano wa msikiti vile.....dhana ya Dau kuinjilisha kimtindo mpaka public areas? au