AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 313
Hakuna Njia? Ndio Polisi Post sikuhizi zina rangi hiyo? Nyeusi Stop.... Watu wengi wamechoshwa na usanii wa Tanganyika...Dr Dau aliahidi angejenga daraja lakigamboni kuwakomboa watu na kweli. Leo hii wana Kigamboni wanaliita Daraja la Dau...awamu ya kwanza ishamalizika
Na magari yashaanza kupita
MR RESULTS ORIENTED huyo hapo kati kati
Mkuu mtoa mada, naona mada yako imekaa kumpamba huyo Dr Dau, kama si Dau mwenyewe!Dr Dau aliahidi angejenga daraja lakigamboni kuwakomboa watu na kweli. Leo hii wana Kigamboni wanaliita Daraja la Dau...awamu ya kwanza ishamalizika
Na magari yashaanza kupita
MR RESULTS ORIENTED huyo hapo kati kati
issue hapa ni daraja
issue hapa ni daraja
Laiti kama hizi pesa zetu za NSSF zingekuwa zinatunufaisha na sisi wachangiaji hasa kupata mikopo nafuu!
Kama daraja la kigamboni ninajengwa, je sifa kwa wafanyakazi waliochangia ama sifa kwa DG wa NSSF anaelipwa kwa pesa za wafanyakazi?
Je malalamiko ya wafanyakazi hayana maana?
KWani nini mnakuwa wasanii kuwa mnatoa mikopo? Kwa nini mmeweka masharti magumu sana ili watu washindwe kukopa?
Kwa nini msiwe wabunifu kama PSPF?
PSPF wanatoa mikopo kupitia benki ya POSTA, nyie NSSF mmeshindwa, ama ni uvivu wa kufikiri?

bora hata lingeitwa daraja la slaa bana.Mkuu mtoa mada, naona mada yako imekaa kumpamba huyo Dr Dau, kama si Dau mwenyewe!
Hilo daraja pengine hata hujui maana yake, hilo ni temporary, na daraja lenyewe wala bado halijaanza kujengwa!
Sijui huna macho au vipi, si unayaona mabati yasiyoweza kubeba uzito mkubwa!
Na ta kukuelewesha Nssf Ni financier tu wa mradi na hawana ujuzi wa kusimamia hilo daraja isipokuwa wizara husika ya ujenzi na wataalam walioteuliwa.
pambaf Kama huna cha kuchangia nyamazabora hata lingeitwa daraja la slaa bana.