Nssf -msaada wa haraka tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nssf -msaada wa haraka tafadhali

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MTAFUTAJIHALISI, Oct 22, 2011.

 1. M

  MTAFUTAJIHALISI Member

  #1
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba msaada wenu, mimi kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi niliacha sasa ni mwezi mmoja. japo nimepata kazi ya kujishikiza, nina shida sana ya kuchungua MICHANGO ya NSSF ambayo nimechangia. Naomba msaada wa namna ya kupata pesa zangu ndani ya wiki 2 ikiwezekana. Kwa msaada huu, nitatoa jumla ya consultancy fee ya Tshs 400, 000 kwa watakaonisadia. Tafadhali kama kuna mtu wa NSSF hapa anayeweza kunisaidia au kama kuna mtu anajamaa yake NSSF anayeweza kunisadia. naomba ani text(tuwasiliane) kupitia 0763 894508.


  Natanguliza shukrani
   
 2. s

  shalis JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwanza uko wapi na kazi ya zamani ulikuwa unafanyia wapi
  from there i can help
   
 3. s

  shadhuly Senior Member

  #3
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  taratibu za kuchukua mafao yako kwa nssf ni lazima usubii miezi sita then ndo unaweza kuwithdawal.unless imethibitika kwamba ni mgonjwa na umachishwa kazi kwa ajili ya ugonjwa huwezi kufanya kazi tena.au umefikia umri wa kustaafu kwa hiari
   
 4. M

  MTAFUTAJIHALISI Member

  #4
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nipo dar es salaaam, naishi tabata kimanga, naweza kukuona hata w'end hii tukaongea vizuri. michango yako ilikuwa ikipelekwa NSSF
  ubungo
   
 5. Doltyne

  Doltyne JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 443
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naskia harufu ya rushwa hapa.
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Pumba ulipojiunga hukuangalia masharti?
   
 7. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  nssf niijuavyo huwa michango unaipata,huna hata haja ya kutangaza rushwa!uliwahi kufuatilia?walikuambiaje?
   
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu habari

  takukuru mnaendeleaje?
   
 9. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Umeonaee
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Yaani dau la laki 4 kweli Takrima izi zitatupeleka pabaya!
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  thanks pal
   
 12. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,306
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  We naona hukuwahi kuacha kazi, Mpaka unapata cheque yako inachukua kuanzia miezi nane na kuendelea.Hiyo miezi sita inayotajwa ndio unaenda kujaza form za madai ya hela yako,then ndio unaanza kufuatilia,mara watakuambia zimepelekwa makao makuu,mara sijui zimeenda wapi, hapo kuna miezi tena sio chini ya miwili.Hii kitu inasumbua sana!

  Parachichi;2691455]nssf niijuavyo huwa michango unaipata,huna hata haja ya kutangaza rushwa!uliwahi kufuatilia?walikuambiaje?[/QUOTE]
   
 13. M

  MTAFUTAJIHALISI Member

  #13
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [/QUOTE]

  Jamani huu mjadala ni mkubwa. Pengine, mimi niseme tu kwamba, serikali yetu inafahamu kuna mambo ni haki yetu, lakini kwa kuwa haitoi kwa wakati, kuna wadau alzima wasaisie. kama nilivyosema, mimi nimeacha kazi na nia shida, lakini zile pesa za NSSF ni zangu, nazihitaji sasa kuliko wakati mwingine wowote, nda maana nahangaika kwa namna yoyote. hbr ya miezi sita, sijui uzeeni, shida yangu hainiruhusu kufika huko nikiwa salama, ndo maana naomba msaada kwa namna yoyote ile.
   
 14. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Jamani huu mjadala ni mkubwa. Pengine, mimi niseme tu kwamba, serikali yetu inafahamu kuna mambo ni haki yetu, lakini kwa kuwa haitoi kwa wakati, kuna wadau alzima wasaisie. kama nilivyosema, mimi nimeacha kazi na nia shida, lakini zile pesa za NSSF ni zangu, nazihitaji sasa kuliko wakati mwingine wowote, nda maana nahangaika kwa namna yoyote. hbr ya miezi sita, sijui uzeeni, shida yangu hainiruhusu kufika huko nikiwa salama, ndo maana naomba msaada kwa namna yoyote ile.[/QUOTE]

  Hapo kwenye red ni sababu tosha kwao wao NSSF wakakupa mafao yako mapema.

  Au unaweza kwenda chuo chochote ukaforge barua ya Admission unavuta mkwanja.
   
 15. ARV

  ARV JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2011
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,306
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Hapo ni kuforge tu docs labda unaenda kusoma nje na unataka kulipa ada, au udanganye upate cheti hospitali unatakiwa ukatibiwe haraka kwa hela nyingi.Bila hivyo sahau ndugu yangu..sheria yao haiwaruhusu kukupa hiyo hela kabla ya hiyo miezi sita.
   
 16. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  humu JF kuna watakao kusaidia kwa nia njema, pia kinawatakao kutapeli usipokaa sawa, la mwishi kuna matakokuru watakao taka kula pesa yako pia just be smart ,

  bado namlilia Gaddafi si kwamba alikuwa hana mabaya bali nikipima mabaya na mazuri aliyowatenda naona mabaya yako kiduchu na yeye si ati alikuwa malaika....
   
 17. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  yeah na amesema alikuwa anapeleka NSSF Ubungo? na urasimu usio na tija uliopo NSSF Ubungo sidhani kama bila rushwa unaweza kupata pesa yako pale. Ni disaster tupu pale.
   
 18. s

  shalis JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ARV inawezekan upo sahihi kutokana na company alikotoka wana mkataba gani na nssf
  maana wanatofautiana I.e watu wa migodini wao hupewa mafao yao baada siku tatu ....
   
 19. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,946
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  Kaka hiyo laki 4 asavali ufungulie genge kwa kujikimu hiyo miezi 6 la sivyo itakuwa sawa na kilichoenda kwa mganga hakirudi ,hiyo hela utaliwa na utasubiri miezi sita,miezi 6 sio mingi subiri kaka,mwenye uwezo wa kutoa hiyo hela labda ukamuone Mkurugenzi mkuu
   
 20. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani huu mjadala ni mkubwa. Pengine, mimi niseme tu kwamba, serikali yetu inafahamu kuna mambo ni haki yetu, lakini kwa kuwa haitoi kwa wakati, kuna wadau alzima wasaisie. kama nilivyosema, mimi nimeacha kazi na nia shida, lakini zile pesa za NSSF ni zangu, nazihitaji sasa kuliko wakati mwingine wowote, nda maana nahangaika kwa namna yoyote. hbr ya miezi sita, sijui uzeeni, shida yangu hainiruhusu kufika huko nikiwa salama, ndo maana naomba msaada kwa namna yoyote ile.[/QUOTE]

  pesa za kukusaidia sasa ungeweka bank, au uza asset yako ili upate pesa kwa sasa!
  Pesa uliyoweka nssf haikuwa lengo lake kksaidia upatapo shida ya fasta! Hata ukiwa bado kazini ukafiwa na wazazi wako wawili kwa wakati mmoja huku ukiwa huna hata mbuni mfukoni huwezi kupewa!
   
Loading...