Ni jambo la kushangaza sana kuona jinsi wadau wa shirika hili wanavyoteseka wanapofuatilia mafao yao.Hivi majuzi nilistaafu kwa mujibu wa sheria lakini kufuatilia mafao yangu ni ishu kali mpaka uje kupata id card ni dillema.
Wamechapa majina tofauti,ukiwafuata rudi baada ya siku 14.
Hebu sikieni kilio chetu wana forum mtupe mbinu mbadala ili tupate jasho yetu.
Wamechapa majina tofauti,ukiwafuata rudi baada ya siku 14.
Hebu sikieni kilio chetu wana forum mtupe mbinu mbadala ili tupate jasho yetu.