machala
Member
- Sep 22, 2024
- 15
- 18
Habari za mchana wadau samahani ningependa kujuzwa madai ya mafao ya nssf yakiandika approved claim status ina maana gani na je uwainachukua mda gani mdai kulipwa mafao yake maana claim Status tangu isome approved ni wiki sasa na akaunti inasoma amount 0.00 lakini bado sijalipwa shida inaweza kuwa nini . Ahsanteni