NYAQ
Member
- Feb 23, 2016
- 93
- 275
Asee hii ni kimeo sana wadau, watu tutaishije wakat tulitegemea kupata mitaji kutoka kwenye mafao yetu !!!.
Mtu nimekaa miezi 18 bila ajira, nimeenda kufungua madai wakalipa 33% then nisubiri tena 18 month ndo niombe kulipwa yote.
Daa NSSF mlaaniwe muwe na maisha magumu sana na mteseke