NSSF kuvunja jengo la Ubungo ni jipu

fisi 2

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
3,276
4,640
Wapangaji walihamishwa kwa mbwembwe na wao kuhamia Mlimani Tower. Kodi inayopotea kwa mwezi ni 18 milioni Mara miaka 4. Huko Mlimani Tower nako wanalipa pesa kibao. Ujenzi mpya umeshindikana.Zote hizo ni pensheni za wananchi wanyonge.
 
Mkuu sasa hivi wewe jijal mwenyewe na familia yako mke na watoto under 18. Hakuna mwenye huruma Tanzania. Muombe Mungu usiwe mlemavu halaf wewe breadwinner.
 
Wavunje tu, mbona panakuwa na ugumu hivyo kuangusha tofali zile ambazo hazifiki hata B1 ilihali lami za mabilioni ya kutosha wanabomoa na kuzijenga upya kila uchao sa zingine bila hata ulazima.
 
Back
Top Bottom