Ni kauli ya kibaguzi..ni kauli yenye mwelekeo wa itikadi ya ufashisti...Inaelekea hujafanya utafiti.CCM ina vijana wengi mashabiki...CCM ina wanawake wengi mashabiki..CCM ina mashabiki kutoka makundi yote ya jamii...Kauli za aina hiyo kama yako ndio anbazo hukosesha kura upinzani..Kauli nyingine ambazo hukosesha kura kwa upinzani ni kama zile za kusema mikoa ya Dodoma, Singida na kadhalika haijitambui na ikonyuma kimaendeleo na ndiyo maana inaipigia kura CCM na kwamba eti mikoa inayoitwa ya 'kaskazini' ina watu wanaojitambua na ndiyo maana inawapakura wapinzani....wapinzani lazima mjifunze....muwe na lugha nzuri na staha...