NSSF, e-mail yenu ina tatizo

symwo

Senior Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
152
Reaction score
49
Wanachezea akili zetu hawa,wametangaza kazi recently ila email address(dhra@nssf.or.tz) yao kila ukituma maombi inarudisha majibu kwamba imefeli na wametoa condition ya kuappy kwa email tu,isije ikawa kazi mshapeana mnatuzuga tu......
 
Mbona mimi imeeenda mkuu jaribu kwa komputer nyingine
 
umerudi kucheki kwenye email zako?kama haijarudi?maana mm nikituma zinaenda ila baada ya muda napata email kuwa hawajaweza kudeliver email yangu
 
Nilituma alhamis mpk saizi sijapata sms ya not delivery
 
post gani hizo wametoa? je wanahitaji sifa zipi na una ambatanisha vitu gani naomba kujua tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…