Nashukuruni kwa ushauri mkuu, leo kama kawaida niko hapa, kuna bwana mmoja ni mfanyakazi wa Nssf, mrefu ana makengeza sijui position yake ila anachokifanya ni kuzunguka akiona anayelalamika kidogo anajifanya kumsaidia ila anatengeneza mazingira ya rushwa. Ngoja nielekee PCCB, ila sijui kama kutakuwa na msaada maana kwa Tanzania ofisi usiyomjua mtu, Ofisi hiyo ni sawa na imefungwa.