Nshomile akisifiwa! Anaongeza...!

Ngoja wakasirike ruttashobolwa.

Ndo ukweli wenyewe, wakija watasema nina sifa kumbe ndo uhalisia.

Arafuuu, wahaya tuna akili bwana, hatuhitaji kubebwa.

lazima na hili wakatae
 
Ngoja wakasirike ruttashobolwa.

Ndo ukweli wenyewe, wakija watasema nina sifa kumbe ndo uhalisia.

Arafuuu, wahaya tuna akili bwana, hatuhitaji kubebwa.

mwakibakola, waambie waelewe wahaya akl ni za kurith, afu kila mtu anatuchukia cjui kwa nini, nimeacha kaz ktk ofc flan ksa bos hajui hesab nikimuhesabia et namuibia, nikaamua kuacha. Wasome waone
 

una chuki wewe,sibure!
 
mwakibakola, waambie waelewe wahaya akl ni za kurith, afu kila mtu anatuchukia cjui kwa nini, nimeacha kaz ktk ofc flan ksa bos hajui hesab nikimuhesabia et namuibia, nikaamua kuacha. Wasome waone

Umeona eee.
Tuko full. Chki za bure tu.
 
Kiboko ya Wahaya ni Idd Amin na askari wake, kwa hilo hawawezi jisifia, CHEZA NA KULIWA TIGO WEYE!
 
Hawa ni kweli wamesoma mama zao walitumia vizuri uchumi waliopewa na muumba kule mitaa yetu ile na kipato walichopata waliwasomesha watoto ndio ,hao leo mnawaona mapro
 
Kuna vitu huwa havibadiliki,in ths Planet;jua,mwezi na ukweli.In short,tumo hata kama hawataki,ndo ukweli haubadilikiiiii.Angalia Majembe kama akina Baloz Kagashek.prof.Tiba,Mkandala na mimi mwenyewe.
 
hapo kwenye red, isije kuwa mambo ya elimu kwa kulinganisha Waingereza miaka 500 iliyopita wakiwa na vyuo (sijui Cambridge na Oxford pekee) na Tz ya leo yenye vyuo zaidi ya 100 sasa!
 
Iko nyingine hii, Bwana Rweyemamu umefanyaje hadi watoto wako wanafuru hivi shuleni, Actually mimi mweneyewe nina ka masters, mama yao hawa watoto alimaliza Form six, akazaa watoto watuta nikampeleka chuo kikuu, mtoto wangu wa kwanza ana kadigiri kamoja, wa pili anamaliza form six kesho kutwa na mdogo wao nae hayuko nyuma, mtihani wa darasa la saba alipata division one.

Kazi ni kwenu, kama hata mtihani wa darasa la saba nao huwa na Division!
 
ukitaka kujua ukweli nenda pale chalinze then uone magari yaliyobeba maiti yanaelekea wapi kwa sana then ndo uje hapa jukwaani utwambie n kabila gani linaongoza kwa kufa kwa ngoma then utapata jibu n kabila gani mala.ya na si kusingizia wahaya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…