UWIIIIIIIIII! hawa sijui ni watanzania wa wapi, kila kitu ni misifa na kujipendelea kwa kuwadhulumu wengine. Ktk chuo ninachofundisha tulimpata mama wa kihaya kama PRINCIPAL Wahaya wote wa mjini wakafanya chuo kama shamba la bibi, mkufunzi wa kawaida ambaye siyo mhaya huwezi kupata huduma ofisini kwani muda wote anapiga stori na wahaya wenzake bila kusahau foleni ndefu ya wanafunzzi wa kihaya wasiopungua ofisini kwake. Na lugha kuu pale ni kihaya. Mbaya zaidi ile sura ya kitaifa chuoni imepotea kabisa, 80% ni wanachuo wa kihaya na si kwa sifa bali kwa kubebwa. mbaya kupitiliza, akifeli mwanachuo ambaye sio mhaya mwongozo wa chuo unafuatwa lakini akifeli mhaya tena kwa haki kabisa, utasikia oooh mimi mlezi wake ooooo kwake kagera mbali sana arisiti kabla ya matokeo kutoka n amengine mengi hawa jamaa hatari kweli kweli hafu huyu mama namwoneaga huruma kwa utumwa wa kikabila alio nao akifeli mhaya tu hapo ofisini siku hiyo wageni na simu zote zinakuwa ni za wahaya za kumlumu kwa kumfelisha wa nyumbani. utasikia unamflisha mwanao aende wapi jamani.
Wahaya waachen jaman ila ka kusoma wamesoma kwel chek maprofesa kama tibaijuka, mkandala nk
mbona huwa hamuwasifii wa-Kwele? au wao hawana kitu cha kipekee?

Nasikia wanapenda sana ngoma na bao.
umesahau kahawa na wali maharage
Chuo gani hicho mkuu. Mbona imekaa ki wivu wivu?
unataka kumpeleka ndugu yako nini?
Bahati nzuri ukoo wetu wote wana masters na PhD.
una wapandisha hasira.