nshachukua yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nshachukua yangu

Discussion in 'Jamii Photos' started by UncleUber, Aug 11, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  baada ya tra kutangaza tunaweza kujipatia namba tuzitakazo, nimeamua kuchukua yangu, ukiona bajaj au daladala za mbagala zenye namba hii ujue ndo mie mmiliki

  [​IMG]
   
 2. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sasa mtoto6, ada ya ubao kwa mwaka unaijua? Utanunua matairi ya daladala au utalipia ubao.
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nini maana ya jina lako mzee
   
 4. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  swali zuri sana: maana ya jina nilitohoa kutoka kwenye my english nick name <:Little Six: > nilikuwa mdogo wakati huo walikua wananiita little.......Six is my lucky number
   
Loading...