Blasio Kachuchu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 718
- 437
Uko sahihi chief.CRDB wamechukua maji kisimani, wakenda kumwaga baharini. Marian wanao uwezo wa kujenga shule vizuri kabisa bila shida. Hii michango ilitakiwa kwenda "Mwembe kiuno" sekondari, au shule ya msingi "sogea tukae".
By the way, sioni kama lengo la kuzianzisha hizi shule za Marian linatimizwa kwa sasa. Imekua kinyume chake!
Marian ya Sasa wanaangalia pesà sio akili za mtotoCRDB wamechukua maji kisimani, wakenda kumwaga baharini. Marian wanao uwezo wa kujenga shule vizuri kabisa bila shida. Hii michango ilitakiwa kwenda "Mwembe kiuno" sekondari, au shule ya msingi "sogea tukae".
By the way, sioni kama lengo la kuzianzisha hizi shule za Marian linatimizwa kwa sasa. Imekua kinyume chake!
Kwenye maelezo pale juu imeandikwa katika mchango wake, Nsekela alisema kuwa Benki ya CRDB imetoa Sh20 milioni kama sehemu ya mchango wa kufanikisha ujenzi huo huku yeye mwenyewe akichangia Sh10 milioni na marafiki zake wakitoa zaidi ya Sh10 milioni. Mimi nilivyoelewa hapa ni kwamba bank kama bank ya CRDB wametoa 20m, yeye mkurugenzi katoa 10m na marafiki zake wametoa zaidi ya 10m. Hivyo kwa ujumla bank, mkurugenzi na marafiki zake wamechangia zaidi ya 40m.Hapa haijakaa sawa,
Labda huyu Majid hazijui vizuri hizi shule. Na ni Bora hizi 20mil wamechanga yeye na rafiki zake binafsi, na sio benki kama benki.
Hizi shule zinajiweza, hazihitaji michango. Ada zake ni kubwa tu, plus idadi ya wanafunzi wanaojiunga means collection yake ni kubwa.
Ni shule zenye mrengo wa kibiashara zaidi kuliko kusaidia jamii. Ni kama zilivyo tu Feza Schools na Zinginezo za aina yake.
Duh,Kwenye maelezo pale juu imeandikwa katika mchango wake, Nsekela alisema kuwa Benki ya CRDB imetoa Sh20 milioni kama sehemu ya mchango wa kufanikisha ujenzi huo huku yeye mwenyewe akichangia Sh10 milioni na marafiki zake wakitoa zaidi ya Sh10 milioni. Mimi nilivyoelewa hapa ni kwamba bank kama bank ya CRDB wametoa 20m, yeye mkurugenzi katoa 10m na marafiki zake wametoa zaidi ya 10m. Hivyo kwa ujumla bank, mkurugenzi na marafiki zake wamechangia zaidi ya 40m.
Kwa akili ndogo tu ya kufikiri, Nsekela ni mnufaika na hiyo biashara, ama yeye moja kwa moja ama anamsaidia mtu katika hiyo biashara.Hapa haijakaa sawa,
Labda huyu Majid hazijui vizuri hizi shule. Na ni Bora hizi 20mil wamechanga yeye na rafiki zake binafsi, na sio benki kama benki.
Hizi shule zinajiweza, hazihitaji michango. Ada zake ni kubwa tu, plus idadi ya wanafunzi wanaojiunga means collection yake ni kubwa.
Ni shule zenye mrengo wa kibiashara zaidi kuliko kusaidia jamii. Ni kama zilivyo tu Feza Schools na Zinginezo za aina yake.
Marian ina utajiri kuliko CRDB?Kwa akili ndogo tu ya kufikiri, Nsekela ni mnufaika na hiyo biashara, ama yeye moja kwa moja ama anamsaidia mtu katika hiyo biashara.
Tunatoaje hela benki?
Basi awe mgeni rasmi ili tupige mpunga.
Kiukweli kuichangia Marian haiwezekani. Marian ina utajiri mkubwa kuliko CRDB.
Yaani wewe! Ushafikiri siku wenye amana zao wazichomoe, CRDB itasimama?Marian ina utajiri kuliko CRDB?
Unaijua CRDB au unaongea tu, benki kubwa vile yenye mamilioni ya wateja na trillions of assets izidiwe na kishule kimoja kinachoitisha harambee. Ushawahi soma hata financial report ya hiyo bank mwaka wowote?
Marian hawana utajiri hata 5% ya CRDB
Kweli, kuna wanafunzi wanatoka nje ya nchi. Wenyeji tunashangaa shangaa tu."Sekondari ya Wasichana Marian ilijengwa Februari 1997 ili kuwapa fursa wasichana wa Mkoa wa Pwani na maeneo jirani kupata elimu bora"
Hivi hata viongozi wa dini siku hizi ni matapeli,hii shule lini ililenga kusaidia wasichana wa mkoa wa pwani?? Hata tukifanya sensa ndogo hapo sidhani kama wasichan wa pwani watafika hata 1%,
Kumbuka ni mfumo wa unyonyaji uliojengwa toka dola ya Rumi. Hiyo ni mifumo, haiwezi kubadilika.Shule za makanisa zinajengwa Kwa michango ya waumini lakini nashangaa zinakua na ada kubwa kiasi hata wengi wa waliochangia ujenzi hawawezi kupelekea watoto wao.
Marian ni shule, mali za kanisa haziendeshwi hivyo. Yaani tuzungumzie Azam media utoke uko uzungumie Azam ngano na maandazi? Kwani nini maana ya asset management kwenye portfolio.Yaani wewe! Ushafikiri siku wenye amana zao wazichomoe, CRDB itasimama?
CRDB ni taasisi inayojijenga kupitia amana za watu na mipaka yake inafahamika.
Lakini huwezi kulifilisi kirahisi kanisa katoliki ambalo ni wamiliki wa Marian schools.
Kanisa siyo jimbo tu la Morogoro. Wamefungamana worlwide. Ni system. Wanaweza kufanya jambo lolote watakalo kama kanisa. Usiitazame Marian kama shule, tazama mmiliki ni nani halafu linganisha na CRDB.