Nsaidien kujua kaz ya RAM,ROM,PROCESSOR

Msaada plz

Processor = enginerr
ROM sawa na Oil
RAM sawa na Fuel.

Kibanga amekosea. RAM ni memory inayohifadhi taarifa/data kwa muda mfupi tu (temporary storage) kabla havijapelekwa kwenye hifadhi ya kudumu ambayo ni ROM (Permanent storage, unless you delete the data). Let's say kwa mfano, unapokuwa unachapa maandishi kwenye Microsoft word, kila herufi unayoichapa inahifadhiwa kwenye RAM, ndiyo maana unapoiandika unaiona na inaendelea kuwepo. Ikitokea bahati mbaya umeme ukakatika wakati unaendelea kuchapa, ukija-kuboot machine yako for the next session, hiyo information uliyokuwa unaichapa hautaikuta, itapotea kwa sababu ilikuwa bado iko kwenye RAM. Uki-save information inahifadhiwa sasa kwenye ROM ambapo hata umeme ukikatika inaendelea kuwepo utawasha machine yako baadaye na utaikuta. PROCESSOR ni ubongo wa computer, assuming komputa inabadilika na kuwa kama binadamu, this is as simple as that!
 
RAM ni memory inayohifadhi taarifa/data kwa muda mfupi tu (temporary storage) kabla havijapelekwa kwenye hifadhi ya kudumu ambayo ni ROM (Permanent storage, unless you delete the data).

Huu ni uwongo, ROM sio storage, ni memory
Unapokuwa unachapa maandishi inahifadhiwa kwenye RAM, Uki-save information inahifadhiwa sasa kwenye ROM
Mkuu huu ni uongo mkubwa sana, Kasome upya kazi ya HDD

PROCESSOR ni ubongo wa computer, assuming komputa inabadilika na kuwa kama binadamu, this is as simple as that!
Hapo ndo uwezo wako umefika mwisho?
 
Huu ni uwongo, ROM sio storage, ni memory

Mkuu huu ni uongo mkubwa sana, Kasome upya kazi ya HDD


Hapo ndo uwezo wako umefika mwisho?

But, the basic question is, how do you manage to have a storage that doesn't have memory? Because when you talk of storage, you are talking of memory, only that storage has to be associated with a physical electronic device in some ways. Vijana mnasoma wapi siku hizi, kuna siku mtakuja kusababisha watu walie humu JF!
 

Well said!!
 
Hapo ndo uwezo wako umefika mwisho?

Mimi ni mwalimu by profession, hata nisingesomea ualimu, by nature ni mwalimu, nimezaliwa mwalimu. Namjibu mtu kulingana na intensity ya swali lake namna lilivyo, anaonekana perce ni novice, huwezi kumjibu kama mtu ambaye ni professional, utakuwa unampoteza. Sasa tuendelee kuanzia hapa!
 
Hii IT ina watemi kumbe mimi sio mtaalamu ila maelezo yako yananishawishi RAM (Random Acess Memory), ROM (Read Only Memory), kipimo cha RAM ni sawa na cha storage devices ie (hard disk,flash-usb stick, cd, external hard disk internal ) nacho ni MB,GB, TB etc. Nakubaliana na wewe kabisa huwezi zungumzia memory bila storage ila unaweza zungumzia storage bila memory. Storage is a subset of memory. Otherwise shukrani kwa ufafanuzi.
 
Huu ni uwongo, ROM sio storage, ni memory

Mkuu huu ni uongo mkubwa sana, Kasome upya kazi ya HDD


Hapo ndo uwezo wako umefika mwisho?

we are matured enough mkuu! Our answers shouldn't be relate to 15 years babys!

N the hell is there! Unaposema mtu kadanganya bila wewe kuweka ukweli wako!
 

Simple as that, umefafanua vizuri sana
 


we are matured enough mkuu! Our answers shouldn't be relate to 15 years babys!

N the hell is there! Unaposema mtu kadanganya bila wewe kuweka ukweli wako!

Mimi pia ningependa kusikia ukweli wako kijana




MAANA YA ROM


Read-Only Memory, ROM is a type of memory that is capable of holding data and having that
data read from the chip, but not written to.

NOTE:
Kwanza inabidi ujue hakuna device inayoitwa ROM, Yaani ni kwamba neno ROM huwa
linatumika kuelezea aina yoyote ya memory au media ambayo inakuwa ni read only,
e.g BIOS Chip, Ndani ya hiyo BIOS chip utakuta kuna setting za bios kama vile Kumbukumbu ya saa, HDD setting, boot option etc.
So kazi zako zote unazofanya kama uki-save huwa zinahifadgiwa kwenye HDD wala sio kwenye ROM kama ulivyosema.




MAANA YA HDD
Hard Disk Drive, HDD is the computer's main storage media device that permanently stores all data on the computer.
or is a data storage device used for storing and retrieving data.


MAANA YA PROCESSOR
PROCESSOR also referred to as a central processing unit, is the hardware within a computer that carries out
the instructions of a computer program by performing the basic arithmetical, logical, and input/output operations
of the computer system.

Processor ina components mbili ambazo ni ALU na CU.

1. Arithmetic Logic Unit (ALU) ina-performs arithmetic and logical operations kama vile mahesabu.


2. Central/Control Unit (CU) ina-extracts instructions from memory and decodes and executes them.




+++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++++





GREEN πŸ˜›oa




RED
 

Kuna tofaut gani kat ya ulichokpinga na ulichokiandka wewe kuhusu ROM.!bange hzi..
 

Hakuna storage isiyokuwa na memory, hakuna chumba kisichokuwa na nafasi, kama nafasi hamna basi siyo chumba tena!
 

This is actually pure copy and paste work without any grain of intuition or understaning! HDD inapohifadhi hizo information, inaziweka sehemu gani, panaitwaje? Are you anyway, talking of devices or logical storage/data allocation units within devices? You must differentiate between the two! Good day
 
Kuna tofaut gani kat ya ulichokpinga na ulichokiandka wewe kuhusu ROM.!bange hzi..

Kama ufahamu/elimu yako ni mdogo kuhusu computer utakuwa ni vigumu sana kuelewa na kutofautisha kati ya ROM na HDD.
Kama unaona nilichokiandika ni bangi nipe mfano wa ROM na picha yake unayoijua wewe.
 

Pamoja na kukuandikia lugha rahisi naona huelewi unaanza kulalama,
Naomba utoe ufafanuzi/tofauti kati ya ROM na HDD then baada hapo tutaelewa ufahamu wako ulipoishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…