NOWhatsapp ni zaidi ya GBwhatsapp

NOWhatsapp ni zaidi ya GBwhatsapp

Toa link hapa tunufaike wote,
Hiyo habali yako mbona hujaipost pm.
 
anatafuta mademu huyo,sema katumia mbinu ya zamani sana,aibu!
 
Screenshot_20170714-170054.png

Inaniletea madudu hayo Link iyoo

G.Don-Master.
 
Iko poa lakini haina themes, haionyeshi online status kwa nje, haina option ya Ku hide charting za watu wako, haina option ya kubadilisha rangi ya text ulizotuma na ulizopokea

Sent from my itel it1501 using JamiiForums mobile app
 
I

ZOTE ZIPO ANGALIAA SETTING VIZURI
 
Back
Top Bottom