Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Zipi?Haina features nying na customizations pia hakuna
Limitations za kutosha
Zipi?Haina features nying na customizations pia hakuna
Limitations za kutosha
Angalia changelogs za gbwhatsapp au whatsapp yoyote iliyokua modded utaona kila kitu.Zipi?
Tulienda kusomea ukuu wa mkoa.= habari
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mkuu shida ya gb whatsapp ni kuchelewesha text unakuta muda mwingine hadi ufungue hiyo app ndio text zina miminika wakati zinakuwa zimetumwa muda mrefu mno.nimeijaribu ila naona bado inaachwa mbali sana na GB whatsapp kwanza haina option ya kubadili themes huwezi kuhide contacts zako na pia haina chochote cha ziada ambacho developers wa Gb hawana hii NOwhatsapp kwangu ni NO
yah ilo ndo tatizo kubwa ukitaka kujua iwepo official whatsappMkuu shida ya gb whatsapp ni kuchelewesha text unakuta muda mwingine hadi ufungue hiyo app ndio text zina miminika wakati zinakuwa zimetumwa muda mrefu mno.
Post sent using JamiiForums mobile app
Naomba link mkuuYowhatsapp is the best WhatsApp Mode ever. Kituu ni muruaaaaaa kinatelezaaa tuu na hakiko complicated
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
HOW?!ukitaka uipate namba ya mtanzania anayejifanya anonymous kwenye mitandao ya kijamii mtengenezee clone ya whatsapp utampata fasta!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! haya tcra mbinu mpya hiyo nimewapa jinsi ya kutudaka.
hio shida ya text labda ni kwa baadhi ya simu binafsi sijawahi kukutana nayo nimejarbu YOWhatsapp kidogo naona na yenyewe ni nzurMkuu shida ya gb whatsapp ni kuchelewesha text unakuta muda mwingine hadi ufungue hiyo app ndio text zina miminika wakati zinakuwa zimetumwa muda mrefu mno.
Post sent using JamiiForums mobile app
Yowhatsapp ni best...gb inashida kweny contact baadh ya majina tena meng tu unakua huyaonhio shida ya text labda ni kwa baadhi ya simu binafsi sijawahi kukutana nayo nimejarbu YOWhatsapp kidogo naona na yenyewe ni nzur