Ama kweli intellectuals are now speaking the truth to the power, kwa ufupi nimeangalia mwanzo hadi mwisho wote pamoja na dr banna wanasema serikali ya kikwete haina option kukubali nguvu ya umma inayoongozwa na dr slaa, lazima akubali -lakini pia mjadala huo umeonesha jk kakosea kumteua kombani katika wizara ile manake ni mbumbumbu hajui umuhimu wa katiba na madhara, anaona gharama ya pesa kutengeneza katiba badala ya kuangalia gharama ya machafuko yakitokea -dhidi ya serikalai na viongozi dhalim. Wameua wamegalagaza wameunga kilio cha watanzania, chadema, wasomi kama kina prof issa shivji