Invited guests: Prof. Samuel Peter (UDSM), Dr. Kihwelo (Open Univ), Dr. Benson Banna (Redet) na Dr. Azaveli Lwaitama (UDSM).
Mada: Demand for New Constitution and Reformed NEC.
Invited guests: Prof. Samuel Peter (UDSM), Dr. Kihwelo (Open Univ), Dr. Benson Banna (Redet) na Dr. Azaveli Lwaitama (UDSM).
Mada: Demand for New Constitution and Reformed NEC.
They have ended up the Debate,all invited guests agreed on the necessity and needs of the New constitution..
The approach on reaching such desiresro Mushi"People should go on debating in all places and using different forums if the gvnt ignores these needs 'll pay the cost.
Dr.Lwaitama:The gvmt should ask itself why people refused voting and resulted 42%only voting.
Dr.Bana(Redet):The gvmt in power should take this Agenda from Opposition as its own Agenda and act upon it.
Ama kweli intellectuals are now speaking the truth to the power, kwa ufupi nimeangalia mwanzo hadi mwisho wote pamoja na dr banna wanasema serikali ya kikwete haina option kukubali nguvu ya umma inayoongozwa na dr slaa, lazima akubali -lakini pia mjadala huo umeonesha jk kakosea kumteua kombani katika wizara ile manake ni mbumbumbu hajui umuhimu wa katiba na madhara, anaona gharama ya pesa kutengeneza katiba badala ya kuangalia gharama ya machafuko yakitokea -dhidi ya serikalai na viongozi dhalim. Wameua wamegalagaza wameunga kilio cha watanzania, chadema, wasomi kama kina prof issa shivji
Ni kweli Kabisa Denyo hili swala la Katiba limewaunganisha hawa wasomi na wote wanaongea Sauti moja.
Nimekuwa mfuatiliaji wa Mijadala mingi sana na Mijadala mingi ambayo Dr.Banna na huyu Prof.Mushi wanapokuwepo huwa wanaonyesha kuwa Bias hasa Topic inapokuwa inaigusa CCM hata kama mambo yapo wazi kabisa lazima tu waitetee ila leo nimepata Faraja sana kwa mchango wao kwakuweka Taifa mbele kwanza,Swala la Katiba mpya halizuiliki ni wakati muafaka sasa Wabunge wote waungane bila kujali itikadi za vyama kuhakikisha mchakato huo unafanyika ili 2015 tuingie kwenye uchaguzi tukiwa na katiba mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.