Refer:
Juzi mbunge wa monduli alifanya press conference akizungumzia mambo mengi but specific asked mr president aunde tume to investigate form four results. Specific and Open request.
Meaning:
There has been rumors kikwete and lowasa hawapatani, if it is true, then where did lowasa get the courage to make a this specific and open request???
On my view nahisi lowasa was trying to test his power ndani ya chama tena kwa mtu mkubwa kabisa ndani ya chama, ndiyo, TRICK.
Trick kikwete:
Mr president naye amelijua ilo and by what he decided bila shaka it is true ata yeye hawezi kushindana na nguvu ya lowasa ndani ya chama kwa sasa, though hana uhakika that why kama kawaida yake akamtuma pinda as always so in case of back fire from other "wana-run-for-preident-2015" guys asiwe mwenye lawama(PATA PICHA KICHWA CHA HABARI MWANANCHI, "KIKWETE AMSAPOTI LOWASA, AUNDA TUME"). UPEPO.
So?
Kama upepo hautabadlika, tena hautabadlika sana then kuna uwezekano mkubwa sana kikwete akamsapoti lowasa.
JUST A THOUGHT NOT A FACT
Hili la elimu
halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule
za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa
kisiasa na mvinyo wa urais 2015
Hili la elimu halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa kisiasa na mvinyo wa urais 2015
Please exclude me from your list of Lowasa lover and supporters.Lowassa is Mr President of Tanzania, we love and trust him.
naam; kweli kabisa waboreshe maisha ya waalimu harafu waone matokeo yake hivi unaweza kuunda tume ya kumchunguza ng'ombe asiyeshiba eti kwa nini hatoi maziwa ya kutosha?Hili la elimu halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa kisiasa na mvinyo wa urais 2015
Si wawaite tu wakuu wa shule za private zilizoongoza na kuwauliza wanatumia mikakati gani, watoto wanasikiliza clouds au vipi, watoto wanaenda bush party au vipi, watoto wanaenda club usiku au vipi, walimu wanalipwaje, madeni yao je, wanalala wapi na kama wanashinda na njaa, vitabu je, maabara je,nk.Hili la elimu halina haja ya tume,walimu wanadai hela zao hawajalipwa hadi leo,shule za kata hazina walimu wala maabara then tume ya nn kama sio weu wa kisiasa na mvinyo wa urais 2015
Lowassa is Mr President of Tanzania, we love and trust him.
Refer
Juzi mbunge wa Monduli alifanya press conference akizungumzia mambo mengi but specific asked mr president aunde tume to investigate form four results. Specific and Open request.
Meaning:
There has been rumors Kikwete and Lowassa hawapatani, if it is true, then where did Lowassa get the courage to make a this specific and open request???
On my view nahisi Lowassa was trying to test his power ndani ya chama tena kwa mtu mkubwa kabisa ndani ya chama, ndiyo, TRICK.
Trick Kikwete:
Mr president naye amelijua ilo and by what he decided bila shaka it is true ata yeye hawezi kushindana na nguvu ya Lowassa ndani ya chama kwa sasa, though hana uhakika that why kama kawaida yake akamtuma Pinda as always so in case of back fire from other "wana-run-for-preident-2015" guys asiwe mwenye lawama(PATA PICHA KICHWA CHA HABARI MWANANCHI, "KIKWETE AMSAPOTI LOWASSA, AUNDA TUME"). UPEPO.
So?
Kama upepo hautabadlika, tena hautabadlika sana then kuna uwezekano mkubwa sana kikwete akamsapoti lowasa.
JUST A THOUGHT NOT A FACT