Refer
Juzi mbunge wa Monduli alifanya press conference akizungumzia mambo mengi but specific asked mr president aunde tume to investigate form four results. Specific and Open request.
Meaning:
There has been rumors Kikwete and Lowassa hawapatani, if it is true, then where did Lowassa get the courage to make a this specific and open request???
On my view nahisi Lowassa was trying to test his power ndani ya chama tena kwa mtu mkubwa kabisa ndani ya chama, ndiyo, TRICK.
Trick Kikwete:
Mr president naye amelijua ilo and by what he decided bila shaka it is true ata yeye hawezi kushindana na nguvu ya Lowassa ndani ya chama kwa sasa, though hana uhakika that why kama kawaida yake akamtuma Pinda as always so in case of back fire from other "wana-run-for-preident-2015" guys asiwe mwenye lawama(PATA PICHA KICHWA CHA HABARI MWANANCHI, "KIKWETE AMSAPOTI LOWASSA, AUNDA TUME"). UPEPO.
So?
Kama upepo hautabadlika, tena hautabadlika sana then kuna uwezekano mkubwa sana kikwete akamsapoti lowasa.
JUST A THOUGHT NOT A FACT
Namsikitikia sana Mamvi, anarudia makosa yale yale yalimfanya aondolewe kwenye uwaziri Mkuu.
Washauri wake ni wasahaulifu sana na matukio ya kisiasa. For the benefit ya vijana ambao ni wageni hapa Jamvini, tabia moja ya EL ambayo inaweza kumkera yeyote ni yeye kutaka kuonekana anaweza kufanya zaidi ya wale walio juu yake. Akiwa PM baada ya maamuzi yeyote na Mkulu au VP basi yeye alikuwa anawawahi na kuyatoa yeye hata kabla Mkuu wa nchi hajayazungumzia. Kuna baadhi ya teuizi uamuzi umekamilika yeye alikuwa anawapigia simu wateuliwa kuwa yeye ndiyo kawapendekeza na wasubiri kutajwa na Kikwete. So alijenga himaya kuwa yeye ndiye mwenye maamuzi kuliko mtu yeyote serikalini.
Naamini hatua ya serikali kuunda tume iliamliwa na chama na serikali na yeye EL kwa kutumia wapambe wake akaipata na kuwahi kuizungumzia kabla ya serikali. Ila kwa serikali imeamua kujibu kila jambo hakuona tatzo kuifanyia kazi wakati imeshasemwa na Mamvi.
Mamvi anarudia makosa yale yale na hakika sioni kabisa CCM wakimpitisha kuwa mgombea wao unless kama akifanya tofauti. hatua ya kikwete kumjibu suala la ajira kwenye kikao cha chama ilionyesha jinsi serikali isivyotaka makada wake kuzungumzia hoja nzito nje ya utaratibu wa chama. Hoja za nje ya chama zinakipa kazi chama kujitetea mbele ya wananchi .
Lowasa kama anataka aweze kuwa mgombea kupitia chama chochote lazima atambue haya
1:Hauwezi ukam-outshine kiongozi wako wa juu awe rais ama mwenyekiti na kutegemea utapata nafasi kubwa ya kisiasa. Yeye Mamvi anatakiwa atoe mapendekezo yake kwenye chama na kuonyesha chama kinafanya kazi ipasavyo na hakuna makundi.
2. Aache kujifanya yeya hausiki na matatizo yalipoyopo nchini, hausiki na mabaya ya chama, hausiki na CCM na kwamba yeye ni mteule atajayewavusha watanzania. mamvi anatakiwe mstari mmoja na viongozi wa chama chake katika kujenga chama na kuhakikisha sera za chama chao zinatekelezeka kwa zaidi ya asilimia 50:
Mamvi ana mda, washauri na wapambe wanatakiwa kumsaidie mapema kabla hajakubwa na janga lingine ambalo litamdhohofisha zaidi kiafya na kisiasa.
Nakubaliana na yule aliyesema watu waliozaliwa baada ya Uhuru hawataweza kulipeleka taifa mbele sababu wamelitumikia taifa kwa muda wote bila kulisongesha mbele. Sikatai kuna mafanikio makubwa ila walitakiwa kufanya zaidi kuliko kuiba zaidi.
R.I.P the late Mwalimu