ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
- Thread starter
-
- #41
hongera bi dada nami nataka copy ya hiko kitabu nikisome nikuze knowledge yangu...Itabidi uniwekee na signature pia ladyfurahia
Ni jambo zuri na adimu kwa watanzania kufikiria kutoa vitabu kwa yale wanayopenda wengine wajifunze. Napenda niwe pamoja na wewe ktk kila hatua za kufanikisha hicho kitabu kinakamilika. sitaki kuwa nyuma yako wala mbele yako bali niwe bega kwa bega na wewe ikiwa hutajali..
ladyfurahia ni kweli tuko tofauti hatufanani. Wako watu wanaumiza mioyo ya wenzao na hupenda kuwaona wakiteseka halafu ukikutana nao tabasamu huwa limejaa usoni mwao. Huwa najiuliza binadamu anapata faida gani anapoona wengine wanaumizwa na kuteseka. Hasa watu wachonganishi hawa ndio wabaya zaidi sehemu nyingine huitwa ndumila kuwili, watu hawa hawafai. Tuishi kwa kupendana na kuhurumiana na tena tuchukuliane mizigo na hata ikiwezekana tuwe wepesi wa kusameheana kwani sisi ni binadamu viumbe dhaifu na tuna mapungufu mengi.
Jambo zuri sana, unatunga kwa mtindo wa fiction au non-fiction? Nipe japo chapter moja ili nami nikupe japo kisa kimoja. Unipe na maudhui ya kitabu chako ili nisitoke nje ya lengo. nitafurahi kama utaniPM ili nikumbukie mambo ya shule.sitajali unakaribishwa bestito ninacho kimoja ila naendelea kutunga kingine kitakachoitwa KIBALI hivyo kaeni mkao wa kula kiko njiani kinakuja
Jambo zuri sana, unatunga kwa mtindo wa fiction au non-fiction? Nipe japo chapter moja ili nami nikupe japo kisa kimoja. Unipe na maudhui ya kitabu chako ili nisitoke nje ya lengo. nitafurahi kama utaniPM ili nikumbukie mambo ya shule.
Pamoja sana umeolewa?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Methali hujibiwa kwa methali best:- Linalowezekana leo, lisingonje kesho na chelewa chelewa, utamkuta mwana si wako. kwa waingereza wao husema Tomorrow never come. Lakini usijali sana best tupo pamoja sana. salaam sana na weekend tulivu.oky mara nyingi mambo mazuri hayataki haraka na haraka haraka haina baraka hivyo kuwa mvumilivu kwani mvumilivu hula mbivu
lets try our destiny!!thanks bestito
I'm not married
lets try our destiny!!
Methali hujibiwa kwa methali best:- Linalowezekana leo, lisingonje kesho na chelewa chelewa, utamkuta mwana si wako. kwa waingereza wao husema Tomorrow never come. Lakini usijali sana best tupo pamoja sana. salaam sana na weekend tulivu.
Pamoja sana best.asante bestito jamani una mithali za mafundisho weye! oky nitawasiliana nawe j3 acha weekend hii niwe flesh kiasi nawe pia nakutakia weeekend njema
male i amAre you a male or female?
male i am
Yote ni changamoto ya maisha cousin wala isikupe shida, ukishagundua mtu yupo tofauti na wewe au anakuwazia mabaya we temana nae na usonge mbele.
***USIMPE NAFASI ADUI ATAWALE MAISHA YAKO***