Now back to shule ya msingi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Now back to shule ya msingi

Discussion in 'Jamii Photos' started by UncleUber, Aug 7, 2012.

 1. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,943
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  hiki kifaa kilikuwa ni cha muhimu sana uingiapo darasa la tatu. kilikuwa ni must have kwa kila mwanafunzi hehehehehehe

  [​IMG]
   
 2. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #2
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka nilipoteza vifaa vyote nikawa nawekea mahindi ya kukaanga.
   
 3. e

  evoddy JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii imenikumbusha enzi hizo ukiwa huna hivyo vifaa MWALIMU ANAKWAMBIA SHIKA NDOLE.Mwailimu SISIMIZI KWA WALE TULIOSOMA NSHAMBA EXTENDED miaka ya mwanzoni mwa tisini wilaya ya MULEBA
   
 4. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #4
  Aug 7, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yani mkebe huu ukiwa na kalamu moja unapiga kelele kuliko maelezo.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Mambo ya bikari kwenye mkebe kipima pembe du hatareeee long tym sana hayo makitu watoto wa kishua wanaita Compass!
   
 6. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa naweka hela za visheti under it, i see long time kwakweli.
   
Loading...