November 2016

Mwendokasi
Na Serikali Ya Viwanda
Huku Porojo Nyingi Halafu Mwenye Cheti Utasikia Ni Dr.
Hawa Maprofesa Na Madr Wakaguliwe Vyeti Vya Kidato Cha Nne Na Sita.

Watu Walisema Ukaguzi Uanze Kwa Mawaziri
Top To Bottom! !
 
Pengine cheti chake kilikosewa
Mbona umekuwa na haraka kumtetea. Hebu wenye data njooni mwaka jana mama Ndalichako November alikwishakuwa Waziri wa Elimu. Polisi anza kazi ya uchunguzi wa cheti hiki!
 
Mbona umekuwa na haraka kumtetea. Hebu wenye data njooni mwaka jana mama Ndalichako November alikwishakuwa Waziri wa Elimu. Polisi anza kazi ya uchunguzi wa cheti hiki!
Hapa umenifanya nichanganyikiwe, hebu njoo usome na u edit maelezo yako y mwendo kasi
 
Kama ni mmoja wa watengenezaji vyeti feki basis jisalimishe mapema.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…