Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Last edited by a moderator:
Hahaha pole kazi unayo mama, wote ni walewale
nawapendea mauno...! si unaona kwa snura ?hahaaa wamefanyaje wazaramo
hahaaa bibi kifimbo cheza kazini...........
Ww wko miaka mingap maana unarukia tu issue sio yko n, mm namwambia yy matumizi ya xana badala ya sana
nawapendea mauno...! si unaona kwa snura ?
nimetonywa kwamba huna tofauti nae! lol!
hebu soma ulichokiandika tena
Nakuona na kifimbo chako kisikae mbali maana wachafuzi wa lugha ni wengi
sio mademu wazuri. ni madem wapenda hera
Sio kitaadhibu matumizi sahihi ya lugha ni kitawaadhibu
Ww wko miaka mingap maana unarukia tu issue sio yko n, mm namwambia yy matumizi ya xana badala ya sana
shida peleka kwenu. KUZALIWA KTK FAMILIA MASIKINI NI MIPANGO YA MUNGU.KUOLEWA/KUOA MAXKINI NI UJINGA WAKO. KUFA MAXKINI NI UPUMBAVU WENU.
na wewe kwa huu uandishi utakuwa na umri gani!!!!!