SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Acha UONGO wewe...... Kasome tena historia yao. Au ukitaka kwa urahisi, sikiliza wimbo huu....
Tupac ndiyo alikuwa anafahamu maneno mengi sana ya Kiingereza na alikuwa akiwasiliana hadi na Mama mmoja ambaye alikuwa Proffesor wa chuo kikuu mambo ya Arts. Pac akiwa mdogo, alikuwa akifanya kosa, mama yake anampa adhabu ya kusoma magazeti na hasa ya TIMES na huko ndipo alipojenga hobby ya kujisomea. Tupac alikuwa anafahamu mambo mengi sana na unaweza kujadiliana naye habari nyingi sana. BIG alikuwa mtoto wa kihuni tu mtaani. Akiwa mdogo, alishakaa na TUPAC nyumbani kwao. Ndiyo maana Mama zao hadi leo wanawasiliana.
B.I.G alikuwa moto wa kuotea mbali..juicy noma acha mo money mo problems!!
Ukitaka message basi utampenda 2Pac.
Ila ukitaka flow ya rap basi Biggie ni mshindi.
Mimi binafsi, I go with Biggie.........the greatest rapper ever!
B.I.G alikuwa moto wa kuotea mbali..juicy noma acha mo money mo problems!!
Kaka kama unanipinga Basi pinga kwa point lakini hiyo ya kusema acha uongo, ni kama vile unajinasibisha kuwa wewe ndio unasema ukweli, cha ajabu wewe ulikuwa mtu wa kusoma kama wengine tunavyosoma
cha muhimu kwenye ubishi kama huu inakupasa uwe free ili upate ukweli, Ubishi Wa BIG na Tupac sio wa leo na wala sio wa Tanzania tu, bali ni Dunia nzima na hata Marekani kwenyewe, (Sawa na ubishi wa Bob Marley na Peter Tosh) na hata waliokuwa Karibu na hao watu still wanatoa hoja zenye kukinzana.
Kaka BIG alikuwa ni mbaya wa Lugha
"At the Queen of All Saints Middle School, Wallace excelled in class, winning several awards as an English student" ingia Hapa The Notorious B.I.G. - Wikipedia, the free encyclopedia
Mkuu kuna Facts hazipingiki kwenye mtanange huu, Mbele Game ilivyokuwa inaenda Tupac alikuwa anamfunika mbaya BIG
CC: Bujibuji, SHERRIF ARPAIO
Tupac nasikia alikuwa shoga
Kituko, ukitaka kuelewa mimi ninasema nini, basi soma hii habari hapa chini: (Tosh na Marley, unaweza kuanzisha habari mpya na tutajadili sana tu, na nikiona unadanganya tena, basi popote ulipo, ntakutumia DVD Documental zao).
Should 2Pac Be Taught In College?
This was far from those dorm room "Pac or Biggie" arguments that you and your friends used to have freshman year of college. No, these were tenured professors, people with doctorate degrees using words like "dystopian" to describe some of Pac's content.
"He was an intellectual as well, but he didn't always speak in that manner," says Dr. Jesse Benjamin, Associate Professor of Sociology at Kennesaw State University, whose paper "Tupac In the Classroom: From COINTELPRO to Critical Consciousness" was displayed at the conference. "He could break things down to layman terms. In academics, if you can't break things down to people who aren't in the academy, you're wasting your time. If you can't talk real, to regular people, your theories sound silly."
Soma zaidi hapa: Should 2Pac Be Taught In College? | Loop21
sasa sio wewe unasema nini bali hiyo source yako ndio inayosema, na source zipo nyingi na ninachokisema mimi pia nimesoma na ndio maana nikakuwekea na source
Kamanda uwe frexible kidogo, hii habari ya BIG Popa na Tupac ni ndefu mno na haina ueleweka mzuri
Tupac Mwenyewe anasema Katembea na Mke wa PoPa (Faith Evance), Mwanamke mwenyewe anakataa, sasa wewe hapo unashika lipi?
Kaka haya Mambo niliyafatilia kitambo wakati bado tupo Mashuleni, sasa mambo yako tight kutafuta mkate, hope na wewe umeshakomaa sasa hivyo jitahidi kuwa unabalance habari unazosoma,
Kwa mimi 2pac ni mwandishi mzur zaidi ya big ila big nae anaflow nzuri kuliko pac. Hayo ni mawazo yangu mie kwa jinsi navowasikilza