Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,989
- 3,898
Sijajitia stress nataka kufahamu tu kama ni kweli hiyo hela ina thamani hiyo.Hela ushapoteza mkuu ya nini kujitia stress
NB: hata Kama ela haina thamani sio vzr kuitupa
Stress za kupoteza hiyo hela zitakujia baada ya kujua thamani yakeSijajitia stress nataka kufahamu tu kama ni kweli hiyo hela ina thamani hiyo.
Stress ni part ya maisha mkuu.Stress za kupoteza hiyo hela zitakujia baada ya kujua thamani yake
Zinazoepukika tuziepukeStress ni part ya maisha mkuu.
Siyo zilishasitishwa hizi?Hela yenyewe ndio hii inayoonekana hapo chini View attachment 2743154
Ingia mtandao I uone kwanza kama Bado zipo kwenye CirculationMimi ninayo hii 1 YUANView attachment 2743160
Una maanisha wanatumia hela za nchi zingine?Siyo zilishasitishwa hizi?
Maana kama sijasahau Kwa sasa Wazimbanwe Kwa sasa wanatumia Rand na US Dollar
We unatuletea nzi...😅Mimi ninayo hii 1 YUANView attachment 2743160
It's something around couple of millions in TshWadau kuna hela niliiokota njiani imeandikwa 50 billion noti ya Zimbabwe ina thamani gani?
Nilipoiokota sikutilia maanani sana, maana nimekuwa nikisikia story za hela ya Zimbabwe kutokuwa na thamani. Na haikuniingia akilini billioni tano iwe kwenye noti moja tu. Hivyo, sikuitunza ikapotea.
Leo kwenye story za hapa na pale na jamaa yangu,akaniambia eti nimetupa mamilioni ya hela. Nimejaribu kugoogle thamani yake katika USD inaniletea pesa nyingi sana.
Ndio nikaona niulize wajuvi thamani ya hii hela.
Nilijaribu kuipiga picha japo haionekani vizuri.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Kama umeajiriwa mpigie simu boss wako umtukane,
Akili zetu wabongo! Umtukane bosi tena?Wewe ushaingia katika list ya mabilionea nchini. Kama umeajiriwa mpigie simu boss wako umtukane, ikiwa umepanga nenda kanye kizingitini kwa mwenye nyumba.
Hapo una sawa na Bil. 50 ya kibongo. Ukishanji nitafute niwe chawa wako.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣ikiwa umepanga nenda kanye kizingitini kwa mwenye nyumba.
Ulishindwa ku~google kipindi ulipoiokota sababu ya stori, ikapotea....!! stori tena, uka~google....!! halafu ukaikota tena! au!??Wadau kuna hela niliiokota njiani imeandikwa 50 billion noti ya Zimbabwe ina thamani gani?