MAKATA WAHI
Member
- Apr 10, 2015
- 12
- 1
Udini utaleta matabaka katika nchi hii angaika angaika ya Dr Slaa ni ukatoliki wala sio jengine tuliona 2010 Dr Slaa akipata nguvu kutokana na ukatoliki sasa Leo anakuja na kumsema sana Lowassa kwa kumwambia fisadi alituambia ana list of shame kama kumi na moja haya sasa umesema mmoja mbona uendelei na wengine hatujui dhumuni lako ufisadi au ukatoliki. Je wale wengine waislam wakianza kufanya Yao wataona kuwa huyu jamaa 2010 walimsumbua ndugu Yao kwenye uchaguzi mkuu mpaka prof lipumba kusema hadharani achaguliwe kikwete je waislam tuwaambie wasiwachague maadui wao wampe hasiye ukatoliki. Tuwe na siasa za usawa sio za udini