Note to all ladies: Kamwe usikubali kuolewa na mwanaume anayeishi na kutegemea wazazi wake

Wanawake msikubali kuolewa na wanaume ambao bado wanaishi kwa wazazi wao.

i. Unatakiwa kuelewa na kufahamu kwamba uchumba ni nakala nyepesi ya ndoa. Ni hivi uchumba wenu ni kioo cha jinsi mahusiano yenu ya ndoa yatakavyokuwa

ii. Wadada ukimuona kijana amekuchumbia na mnakaribia kuoana lakini bado anaishi kwa wazazi wake narudia tena wadada. Ukiona una mchumba mmeshaingia kwenye uchumba lakini kijana mwenyewe anayekuchumbia anaishi na kutegemea wazazi wake ujue kabisa hauolewi na mume unaolewa na mtoto.

ìii. Ieleweke wazi na kila mmoja wenu kwamba hakuna mtoto anayeweza kutunza familia.

iv. Ukiona kwenye uchumba kila siku kijana anakuja anakuomba omba hela, mara nisaidie kidogo vocha, mara nisaidie hela ya kunyolea mara ya wembecmara nisaidie kidogo bwana nauli, mara nisaidie kidogo nini. Ujue huo ni mzigo wako hapo hakuna mume.

v. Dada ukiolewa na mtu wa namna hiyo nakuambia mapema kabisa ujue utajitunza mwenyewe, utawatunza watoto wako utawasomesha mwenyewe utamtunza na yeye.

vi. Uchumba ni kivuli cha ndoa. Unachokiona kinafanyika kwenye uchumba kitafanyika kwa uwazi kwenye ndoa kwa sababu wakati mtakuwa na pingu zenu tayari.

vii. Vijana wa kiume pia mjue hili, kama binti ni jeuri anakujibu jeuri kwenye uchumba. Kwenye ndoa ataingiza vidole machoni.

Kama wewe ni msichana na hujaolewa bado basi ongeza volume ili unisikie vizuri. Wakati huo sisi wanaume tunaendelea kuzima redio kabisa wala sio kupunguza volume!

Udhamini wa Karma Mzigua90 Shunie unahusika.

Kwa msaada binafsi piga: +004919757761327
Noted.
 
Je ? Kwa sisi wahindi?
 
Mbona mnatuandama tunaoishi mahome jamani ndo kwanza tarehe 3 mwaka huu MPYA tutapumua kweli
 
Back
Top Bottom