Pole sana mkuu Judgement. Kufiwa na mzazi ni pigo lisilozibika, hasa mzazi mwenyewe anapokuwa mama.
Mungu aendelee kumlaza mama yetu mahali pema peponi.
NB: Wengine kimombo is not richabo. Ungetusaidia sana kama ungetumia lugha ya Nyerere.