Note 3 kwa 120,000!!
Hamuoni dawati, daftari na pen hapo? Inawezekana kabisa ni simu original, sometimes maisha ya shule yanamfanya mtu afanye hivyo. Nadhani nyote mmepitia huko.Mi napita kwa bei hyo kuna walakini
naihitaji ila nipo dar, waweza nitumia?
Huwezi tuma kwa Mabasi yanayokuja Dar? Maana kuna kampuni za mabasi zinazosafirisha mizigotafuta mtu unayemuaminia mwanza nifanye naye business akutumie
Una PAYPAL Account? Maana hatuaminiani.kwa hilo itabidi utume kwanza pesa afu ndo nikutumie simu