Wakuu nina note3 ni mpya inanisumbua kitu kimoja, yaani haiwezi kudownload iwe picha hata videos au music folder zozote, vile vile inagoma kufungua baadhi ya apps kama jamiiforum na apps za vitabu ambavyo ni muhimu kwangu.
Nikisoma software yake inaniambia ni 4.4.2.
NB: Internet iko faster ni 3G naweza play hata video YouTube bila kustack

Kwa muonekano na performance naona kama ni origino
Run cpu-z u compare taarifa ya processor na ram, na mambo mengine na gsmarena, au jaribu kufungua samsung app, ikifungua playstore au isiporespond jua fake ikifunguka store ya apps za samsung hapo itakuwa original.
Jaribu ku i hard reset. Itafuta kila kitu kilicho kwenye memory ya simu iwe kama ulivyoinunua
niuzie
MAMBO YA TEKE LINALOKUJIA HAYO
mi hapa ni mgni kabisa
Thanx, nimefungua samsung app zinakuja apps za samsung, hapo kwenye hard reset ndio msaada tutani