Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
wadau habari zenu. Natumia laptop ya dell atg. Search engine zipo explorer na mozilla. Tatizo la explorer ni kuwa iko slow so muda mwingi natumia mozilla ambayo iko fasta ikiamua. Natumia pia modem yenye mtandao wa voda. Tatizo inafika muda mozilla inagoma na kusema 'not responding' hili tatizo ni la muda sasa. Nifanyeje itulie? Pia network ya voda huwa inafika muda japo inaonyesha 'connected' alama ya network inakuwa na 'x' nyekundu. Msaada tafadhali