Wadau kwenye form unazojaza wakati unatua nchi mbali mbali au hata ukiwa unajaza personal information kwenye form yeyote duniani kuna kile kipengele cha marital status huwa sikielewi vizuri.
Kwanini choice isiwe Not married na married tu? Kwanini kuna section ya divorced/widowed/separated? Zina umuhimu gani sababu mtu ni aidha married au not married full stop.
Mwenye uelewa zaidi anijulishe.
Wadau kwenye form unazojaza wakati unatua nchi mbali mbali au hata ukiwa unajaza personal information kwenye form yeyote duniani kuna kile kipengele cha marital status huwa sikielewi vizuri.
Kwanini choice isiwe Not married na married tu? Kwanini kuna section ya divorced/widowed/separated? Zina umuhimu gani sababu mtu ni aidha married au not married full stop.
Mwenye uelewa zaidi anijulishe.
Na wao wanajua kuna kuachana halafu hata stress zinatofautiana za married,not married na hao wengne so wanataka wajue jinsi ya kuhandle endapo itatokea hali isiyo ya kawaida,Pia ukiwa married then ukaachika tayari status inabadilika huwez kuwa sawa na ambaye hayuko marriedWadau kwenye form unazojaza wakati unatua nchi mbali mbali au hata ukiwa unajaza personal information kwenye form yeyote duniani kuna kile kipengele cha marital status huwa sikielewi vizuri.
Kwanini choice isiwe Not married na married tu? Kwanini kuna section ya divorced/widowed/separated? Zina umuhimu gani sababu mtu ni aidha married au not married full stop.
Mwenye uelewa zaidi anijulishe.
Kwa nini kwani unakiogopaaa hata hapa kiwepo ili tujue status za watu hata mabango ya kutafuta wachumba yatapungua maana utakuwa unaenda kwenye group la hitaj lako unatuma maombi tu simpleNimeshtuka nilijua unataka hicho kipengele kiwepo humu jf.
Kumbe lengo lao ni kutaka kujua aliyeonja raha na ambaye haijui hiyo raha?divorced na not married ni tofauti kabisa bwana ,,,... mmoja ameonja raha ya ndoa mwingine bado
Kumbe lengo lao ni kutaka kujua aliyeonja raha na ambaye haijui hiyo raha?
yah ili hata ukitaka kutema mate hapo ujue unaongea na mmtu wa namna gani ..... usijetongoza divorced women kama unavyotongoza not married women
Nipe darasa rafiki kwani not married woman anatongozwaje na huyo divorced anatongozwaje ili nisije kuchanganya madesa nikaangukia puayah ili hata ukitaka kutema mate hapo ujue unaongea na mmtu wa namna gani ..... usijetongoza divorced women kama unavyotongoza not married women
Nipe darasa rafiki kwani not married woman anatongozwaje na huyo divorced anatongozwaje ili nisije kuchanganya madesa nikaangukia pua
Haya nakusbiria kule nanihiiinabidi iwe siri tusifaidishe wengi bwana ......
Haya nakusbiria kule nanihii
Kumbe saizi watatuona eee haya utanistua basichini ya mikahawa ngoja kagiza kidogo kaingie
Kumbe saizi watatuona eee haya utanistua basi
Unaniruhusu nikusahihishe mamito? Not married ni group la (divorced, separated, widowed na never married) nadhani ulimaanisha never married ambaye tunategemea hajawahi kuonja kulala na mwenzi hadi asubuhi kihalali. Never married ndio unaweza kukuta watu walio na bikra. Kuna makundi makuu matatu i. Ever married, ii. Currently married na iii. never married. Ever Married (separated, divorced and widowed) and Never married are called single. Katika uhamiaji hii kitu ni muhimu maana siamini hata Jack angalikuwa ni mke wa mtu au ana mtoto anayemtegemea angaliweza kwenda MACAU. Akiingia mtu ambaye ni currently married uharaka wa kurudi makwao ni mkubwa kuliko wengine n.k.divorced na not married ni tofauti kabisa bwana ,,,... mmoja ameonja raha ya ndoa mwingine bado
Nia ya hizo status ni kutaka kutambua social interaction yako. Wanatafuta kianzio cha kujiuliza maswali yafuatayo: kwa nini umekuwa:- divorced, widowed, separated, unmarried au married..???