Norway killing trials

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Killer charged with terrosist act. Admits to killing 77 people. White extremist balaa, jamaa is cool, composed and shows no sign of remorse.
 
The man is worse than Hecter Hannibal of silence of the lambs worse Hannibal is a fictional character.
 
A good thing ni kwamba anacheza na media, na wanapotaka msingizia kuwa ni kichaa anawaumbua, wanapojaribu mwita muovu anawachomoa.The issue hapa itakayowasumbua wazungu wa hizi nchi za ukanda huu ni political correctness.Sasa ndio watakapojua kuwa Multi-Culturism haifai.Sasa baadhi ya Wenye nchi wamehisi hatari ya kutoweka na kujikuta makundi ya white extremists yakaanza kujitokeza.

Huu ni ujinga wa kuwa viongozi wasiopenda kubali ukweli.hali hii imeandikwa ktk media zao sana, wengine wakafungwa kwa ubaguzi,mbaya atheist wakafikia mahali pa kubana tamaduni zao wenyewe kwa sifa za nje kuwa wanajali sana haki za binadamu.Wakawa wanafiki ktk ulimwengu wa kimataifa, wakhukumu mataifa mengine. sasa raia wa kwao wamefikia mahali pa kuamua chukua sheria mkononi.sasa imefikia mahali wamerudi ktk ubaguzi mbaya sana.Jamaa yupo fiti kuanzia kichwani, na ameandika Manifesto yake, na pengine wapo wengi wa namna hiyo na kwa siku hizi za mtandao tayari watu wanazo.
 
Pole kwa kutokujua usemalo. Hapo kwenye nyekundu nina uhakika hauna ushahidi wowote alimradi tu basi uonekane mjuaji wa mambo. Kama unaona Anders Behring Breivik sio muovu basi nakushauri ukajipime ubongo kwa madaktari!

Multi-Culturism: Multiculturalism
 
Na wewe unao ushahidi au unajua ukweli halisi kuhusu hayo unayo crticize? Kwa mtazamo wangu, hakuna mahali mtoa maoni kazungumzia suala la uovu au vinginevyo la Anders Breivik. Hilo suala umezua mwenyewe ukijifanya unajua kila kitu kinachotokea kona zote duniani.
 
Usipime. Jaribu kusoma vizuri nilichoandika na kile ambacho Nicholas ameandika. Usitake kudandia treni kwa mbele, utaumia!
 
Usitake kufanya watu wajinga aloo. Nisome kitu gani wakati nilishafanya hivyo mapema kabla ya kuandika post yangu. Hivi ulitegemea ningeelewa au kufikia maana sawa na uliyong'amua wewe baada ya kusoma tena? Narudia: naomba uonyeshe wapi na kutuelezea kwanini post ya mtoa maoni inadhihirisha hayo unayodai katamka i.e., Anders Breivik siyo muovu. Na siyo hiyo tu, pia utupatie ushahidi wa yale unayomtuhumu mtoa maoni kupotosha.
 
Usitake kufanya watu wajinga aloo. Nisome kitu gani wakati nilishafanya hivyo kabla ya kuandika post yangu. Hivi ulitegemea ningeelewa au kuweka maana sawa na ulivyofanya wewe? Naomba uonyeshe wapi na kutuelezea kwanini post ya mtoa maoni inadhihirisha hayo unayodai katamka i.e., Anders Breivik siyo muovou. Na siyo hiyo tu, utupatie pia ushahidi wa yale unayomtuhumu kupotosha.
Wewe nawe vipi aisee. Hujui kusoma? Au ndio umeamua kugeuza hili jukwaa kuwa ni mahakama? Yaani unataka nianze kukuonyesha kama vile wewe mwenyewe huna macho au hujui kuchambua maandishi? Umeamua kuwa wakili wa Nicholas sio?
 
Tuonyeshe wapi kwenye maandishi ya mtoa maoni amezungumzia suala la uovu wa Anders Breivik, na baada ya hapo tuelezee ni kwa namna gani au kwa nini unadai kakosea kwenye mtazamo wake.
 
Samahani, muda huo (malumbano ya kitoto) sina!!!!!

Haya maandishi hapa chini si uliandika wewe mwenyewe? Basi iweje ushindwe kutetea kauli zako kutokana na maswali ya msingi niliyokuuliza haswa ukitilia maanani kwamba unajifanya ni mtu ambaye "unajua usemalo" wakati wote?

Back
Top Bottom